Mix

Hizi hapa stori zote kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania leo July 11, 2017

on

Aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja alikutana na Wanahabari na kutangaza kuzirejesha Serikalini Tsh. 40.4m alizopewa na James Rugemalira huku akizitaja sababu 5 zilizomfanya aamue hivyo.

Mbunge wa Kawe Halima Mdee yupo nje kwa dhamana baada ya kukaa mahamusu kwa siku 5…hizo ni miongoni mwa stori kubwa zilizopewa nafasi kwenye Magazeti ya Tanzania leo July 11, 2017…zipitie hapa millardayo.com.

“Sasa hivi tumeweka sheria mpaka majipu yanajitumbua yenyewe” – JPM

GUMZO LA ESCROW: Sababu 5 za William Ngeleja kurudisha Fedha za ESCROW!!!

Soma na hizi

Tupia Comments