Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Aliyepigwa na Walimu Mbeya aeleza kwanini hakwenda Hospitali
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 26, 2023
March 26, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mayanja atoa maagizo haya kwa Wakulima Wilayani humo
March 25, 2023
Gigy Money katuletea hii video mpya ‘ogopa’ itazame hapa
March 25, 2023
Picha: Polisi Jamii Cup yazinduliwa Mkoani Manyara
March 25, 2023
Mkurugenzi wa Asas afunguka, ‘Tunawafugaji Elfu 6500, Rungwe na Isanu Busokelo uzalishaji ni mkubwa’
March 25, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > Aliyepigwa na Walimu Mbeya aeleza kwanini hakwenda Hospitali
AyoTV

Aliyepigwa na Walimu Mbeya aeleza kwanini hakwenda Hospitali

October 13, 2016
Share
2 Min Read
SHARE

Jina lake ni Sebastian Chinguku mwanafunzi wa shule ya sekondari Mbeya Day kidato cha tatu ambae video yake ya kupigwa fimbo mateke na makofi na Walimu ilisambaa sana kwenye mitandao na imekua gumzo mpaka viongozi wa Serikali ikiwemo Mawaziri kuingilia kati.

Anachokisema leo Sebastian kwenye AyoTV ni kwamba hakwenda Hospitali baada ya kuumizwa na kipigo cha Walimu sababu aliogopa angeulizwa PF3 lakini pia baada ya kipigo alishindwa kuendelea kwenda shule sababu ya maumivu na nguo za shule zilichanika akipigwa.

screen-shot-2016-10-13-at-1-51-25-pm

‘Baada ya tukio walimu waliniuliza mimi kama mimi nafanyaje, nikawaambia mimi nasamehe hili swala baada ya kuona Walimu wameshachukulia mimi ndio mwenye matatizo, nilihofia kufukuzwa shule moja kwa moja maana kosa langu niliambiwa ni kosa la kupiga Walimu‘ anasema Sebastian

‘Baada ya hapo sikuona haja ya kwenda Polisi au kulifikisha hilo swala popote kwengine kwasababu nilishawasamehe tarehe 28 September, nikabaki nyumbani tu baada ya tukio nikawa nauguzwa na pacha wangu ambaye ni mdogo wangu, Baba yuko kikazi Mbozi na mama yuko Dar anauguza… shule sikwenda toka September 28‘ – Sebastian

screen-shot-2016-10-13-at-1-52-56-pm

Sebastian anasema chanzo cha kupigwa na Mwalimu ni kutokufanya kazi iliyotolewa na Mwalimu darasani siku ya Jumatatu >>> ‘sikuweza kuifanya sababu sikwenda shule Jumatatu nilikua naumwa, nilipokwenda Jumatano nikakuta adhabu inatolewa, nikamuelezea Mwalimu kuwa nilikua naumwa lakini hakunisikiliza hivyo nikakubali kuadhibiwa’

Kumtazama Sebastian akielezea zaidi tazama hizi video hapa chini….

Sebastian akiongelea mkasa mzima tazama hii video hapa chini…

ULIIKOSA YA MKUU WA MKOA KUHUSU NIDHAMU YA SHULE YA MBEYA DAY? WAZAZI WAJUE NINI KUHUSU HILI? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI…

You Might Also Like

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.

China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.

20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.

INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.

Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’

TAGGED: TZA HABARI
Millard Ayo October 13, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Kama bado hujaitazama video mpya ya Tiwa Savage na Mjamaica Busy Signal
Next Article Mambo manne usiyoyajua kuhusu wimbo wa Pana kutoka kwa Tekno
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 26, 2023
Magazeti March 26, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mayanja atoa maagizo haya kwa Wakulima Wilayani humo
Top Stories March 25, 2023
Gigy Money katuletea hii video mpya ‘ogopa’ itazame hapa
Entertainment March 25, 2023
Picha: Polisi Jamii Cup yazinduliwa Mkoani Manyara
Top Stories March 25, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mayanja atoa maagizo haya kwa Wakulima Wilayani humo

March 25, 2023
Top Stories

Mkurugenzi wa Asas afunguka, ‘Tunawafugaji Elfu 6500, Rungwe na Isanu Busokelo uzalishaji ni mkubwa’

March 25, 2023
Top Stories

Mfanyabiashara maarufu Marcas ajitosa kuutaka U NEC Arusha, kufuatia kufutwa kwa Uchaguzi mwaka jana

March 25, 2023
Top Stories

Wananchi Wilayani Korogwe wamuomba hili DC Jokate kutafuta ufumbuzi, ‘Changamoto ya Tembo’

March 25, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?