Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mkataba wa kihistoria wa Chelsea na Nike uliyoweka rekodi
Share
Notification Show More
Latest News
Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
February 2, 2023
Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Mkataba wa kihistoria wa Chelsea na Nike uliyoweka rekodi
Sports

Mkataba wa kihistoria wa Chelsea na Nike uliyoweka rekodi

October 13, 2016
Share
1 Min Read
HULL, ENGLAND - OCTOBER 01: Willian of Chelsea celebrates scoring his sides first goal during the Premier League match between Hull City and Chelsea at KC Stadium on October 1, 2016 in Hull, England. (Photo by Shaun Botterill/Getty Images)
SHARE

 Klabu ya Chelsea yenye makao makuu yake London England leo October 13 2016 imeingia mkataba wa na kampuni ya vifaa vya michezo ya kimarekani Nike kwa ajili ya kuanza kuidhamini kuanzia msimu ujao, mkataba huo wa Chelsea na Nike umeweka rekodi ya kihistoria klabuni hapo.

Nike wameripotiwa kuingia mkataba wa udhamini na Chelsea katika kipindi cha miaka 15, mkataba ambao utawafanya walipwe pound milioni 60 kwa mwaka ambazo ni zaidi ya Tsh Bilioni 155, mkataba huo utawafanya Chelsea wavune jumla ya pound milioni 900 katika kipindi cha miaka 15 ambazo ni zaidi ya Tirioni 2 za kitanzania.

pumaaa

Chelsea watamaliza mkataba wao na Adidas mwezi May 2017, hivyo ni baada ya kukubaliana kuvunja mkataba wao wa udhamini wa miaka 6, mkataba wa Chelsea na Adidas ulikuwa unawafanya walipwe pound milioni 30 kwa mwaka ambazo ni sawa na Tsh bilioni 79.9, kitu ambacho Nike ambao ni wapinzania na Adidas wameongeza mara mbili yake.

ALL GOALS: Yanga vs Simba October 1 2016, Full Time 1-1

You Might Also Like

PSG wachukizwa na Chelsea kukwamisha usajili wa Ziyech

Enzo avunja rekodi ya Uingereza usajili

Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal

Jorginho yametimia Arsenal

Picha: Tazama wadau mbalimbali waliohudhuria kushuhudia mkataba wa Yanga na Haier

TAGGED: soka ulaya
Rama Mwelondo TZA October 13, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article U HEARD: Ya Video queen wa Jike Shupa kuzaa na Juma Nature
Next Article Imeripotiwa Kupotea kwa Rais wa Malawi, Peter Mutharika
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
Top Stories February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
Magazeti February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
Top Stories February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
Top Stories February 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama

February 2, 2023
Top Stories

Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha

February 2, 2023
Top Stories

Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu

February 2, 2023
Top Stories

liganga na Mchuchuma ngoma nzito, Waziri akubali hoja za Askofu Gwajima

February 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?