Siku moja baada ya kuripotiwa mauaji ya Mwenyekiti wa Kitongoji na Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Mangwi kilichopo Kata ya Mchukwi wilayani Kibiti katika Mkoa wa Pwani, IGP Simon Sirro ametembelea kijijini hapo kutoa pole kwa wafiwa.
Aidha, IGP Sirro amewataka wananchi kijijini hapo kutowafumbia macho wahalifu wanaotenda mauaji hayo akiwataka kushirikiana na Jeshi la Polisi kwa kutoa taarifa za wahalifu hao.
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif amemtuhumu Msajili wa Vyama vya Siasa akidai anaihujumu CUF kwa kutumia Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA)…bonyeza PLAY kutazama VIDEO hii hapa ina kila kitu!!!