Top Stories

TANESCO watoa neno kwa wenye nyumba za nyasi wanaotaka umeme (+video)

on

Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) kwa Mkoa wa Kigoma imefanya ziara katika Vijiji vya Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma kutoa Elimu juu ya masuala ya umeme kwenye maeneo mapya yanayotarajiwa kupelekewa umeme kupitia REA zaidi ya Vijiji 11.

RC MWANRI ANAVYOELEZEA WACHINA WANAVYOBEMBELEZA UCHUMI

Soma na hizi

Tupia Comments