Halmshauri ya Manispaa ya Morogoro imeanza Ujenzi wa kituo Cha afya kata ya Tungi kinachogharimu zaidi ya Bilioni moja ambacho kinajengwa kwa fedha za mapato ya ndani.
Ujenzi wa kituo hicho umetajwa kumaliza changamoto ya huduma ya afya kwa wakazi wa kata hiyo ambayo wanalazimika kutembea zaidi ya kilometa tano kufuata huduma hiyo.