AyoTV

VIDEO:Mahaba ya Dogo Janja na Mimi Mars kwenye stage fiesta Arusha 2019

on

Ni Dogo Janja na Mwimbaji wa kike kutokea Bongo Flevani, Mimi Mars ambao wawili hao waliziandika headlines katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid kwenye jukwaa la fiesta mkoani Arusha baada ya kuonesha mahaba  jukwaani.

Itazame hii video hapa ujionee kile kilichojiri October 26, 2019 katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid

 

ULIIKOSA HII YA COUNTRY BOY NA MONI CENTRAZONE WALIVYOPANDA JUKWAA LA FIESTA 2019

Soma na hizi

Tupia Comments