Mix

Khalid na Michelle Obama watajwa kuwa na ushawishi mkubwa mwaka 2019

on

NI headlines za Jarida maarufu nchini Marekani liitwalo Time ambapo Novemba 13, 2019 limetaja list ya watu maarufu wenye ushawishi mkubwa kwa mwaka huu 2019.

Jarida hilo limemtaja mke wa Rais mstaafu nchini Marekani aitwae Michelle Obama akifuatiwa na msanii wa Marekani anaekuja kwa kasi aitwae Khalid.

Khalid ni msanii wa Marekani mwenye umri wa miaka 21 ambae kwasasa rekodi zake anaendelea kukubali duniani kutokana na ladhaa ya muziki anaoutoka.

 

Huku katika mchezo wa mpira wa kikapu akitajwa LeBron James kuwa mchezaji mwenye ushawishi mkubwa kwa mwaka 2019.

ULIIKOSA HII YA IDRIS SULTAN KUMUOMBA RADHI RAIS MAGUFULI BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments