Video Mpya

VideoMPYA: Kutoka Marekani huyu hapa tena Modeste kuhani na ‘Shikilia karama’

on

Leo March 13, 2019 Mtanzania Modeste Kuhani ambaye makazi yake yapo nchini Marekani baada ya kufanya vizri na waimbo wake wa kwanza ‘Hatujafika’ ameingia location kwa mara nyingine tena na kutuletea wimbo mpya.

Modeste leo anatuletea wimbo mpya unaitwa ‘Shikilia karama’ ambapo Video Director ni GM Brown na imeshutiwa katika maeneo mbalimbali nchini Marekani. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama.

Changamoto utakazokutana nazo kushoot Music Video USA, Mtanzania kafunguka

Soma na hizi

Tupia Comments