Habari za Mastaa

Kama unataka kufanya collabo na Diamond Platnumz haya hapa ni ya kuyajua…

on

Kama utakuwa ni mpenzi wa kufuatilia stori za entertaiment basi hizi hapa zisikupite, millardayo.com imekurekodia stori  zote za April 27 2016  ambazo zimepata airtime kupitia 255 ya XXL na moja ya Stori ambayo imepata airtime ni hii ya Meneja wa Diamond Platnumz kufunguka kuhusina utaratibu wa collabo na malipo kwa msanii wake……

>>>’Diamond ukifanya nae collabo kama utapitia kwake ni bure lakini ukipitia kwangu ni pesa unajua kuna ngoma nyingine msanii anaweza akaona mwenyewe kama nitafanya hii itaniweka mahali fulani ndio maana kuna ngoma nyingi Diamond Platinumz kafanya bure‘:-Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam SK

>>>’Kwa mfano ngoma ya Linex, Linnah zote hizo amefanya bure lakini pia wimbo wa Harmonizer sijamchaji hela japo kuwa Harmonizer yupo WCB na yeye anatakiwa alipe kwasababu ana mapato yake ambayo yanaingia katika lebel‘;-Meneja wa Diamond Platnumz Sallam SK20160428_145854

Stori zote zilizopata airtime unaweza kubonyeza Play hapa chini….

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

ULIMISS PROF JAY ALIVYOKUTANA NA WANANCHI WAKE ITAZAME HAPA CHINI…

Soma na hizi

Tupia Comments