Habari za Mastaa

Huyu ndio msanii kutoka bongoflevani ambaye hajawahi kupanda stage na hii Hitsong yake…(+Audio)

on

Mtu wangu wa nguvu stori zote za April 22 2016 kutokea kwenye 255 ya XXL, hizi hapa zisikupite,millardayo.com imekurekodia stori  zote ambazo zimepata airtime leo, hii ni moja kati ya stori ambayo imepata airtime, ni stori inayomhusu staa kutoka bongoflevani Chege Chigunda.1169004_1303985609617521_846355957_n

Pamoja na Hitsong ya Sweety sweety kufanya vizuri nje na ndani ya nchi lakini Chege hajawahi kuiperfom hii ngoma kwenye stage, hii ndio sababu……..>>>’Nikwasababu za kibiashara mimi natarajia kutoa album yangu kwahiyo album inatakiwa kufanyiwa lauch na sweety sweety mafanikio yake ni makubwa lakini siwezi kusema ni mafanikio gani kutoka na kuwa sijaanza kupanda kwenye majukwaa’;-Chege Chigunda

Stori zote zilizopata airtime unaweza kuzisikiliza kwa kubonyeza Play hapa chini….

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

ULIKOSA HII VIDEO YA MAMA MTOTO WA NAY WA MITEGO KUFUNGWA MIAKA MIWILI JELA…

Soma na hizi

Tupia Comments