Habari za Mastaa

Nick Mbish na changamoto za muziki, Umoja wa Marapper wa kike, Lamar kuja na brand yake…#255 (Audio)

on

air

Kwenye zile Stori za 55 leo Nick Mbishi amesikika akisema ukiritimba umekuwa mkubwa kwenye muziki ndio maana muziki haukui,..hakuna maendeleo bila migogoro,  na yeye anasema hawezi kuacha kufanya collabo na mtu yoyote atakayependa kufanya naye lakini ni ngumu ukimuuliza mwingine .

mbishi

Good news kuhusu wadada wanaofanya muziki wa Rap, Kiongozi wao ambaye ni Witnes amemesema wameanzisha umoja wa wanamuziki wa Rap wa kike Tanzania ili kukuza muziki huo..kwa sasa wako marapper wa kike 17 na wamekua wakiongezeka kitu ambacho kinaonyesha kukua kwa muziki huo.

witn

Producer Lamar amesema watakuwa wakirekodi track mpya za watu kwa kuingiza sauti na hawatakua akichukua akapella tena, atatengeneza brand yake peke yake ili kuinvest zaidi kimataifa

lamar

Wasikilize hapa….

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments