Habari za Mastaa

Sababu ya Harmonize kuacha shule?, Mafanikio ya Nahreel kimataifa, Dodoma waja na tuzo zao..255 (Audio)

on

und

Harmonize ambaye ni zao la Diamond kutoka kundi la WCB kumbe aliamua kuacha shule akiwa kidato cha tatu..Leo amefunguka kwenye 255 na kusema aliacha kwa sababu babu yake alikua mtu wa elimu ya dini sana na alikua anamlazimisha kwenda madrasa… alipofika Dar na kukutana na Diamond alimhaidia kumkutanisha na mwalimu ili aendelee kusoma.

hamo

Harmonize

 

Nahreel hamesema anafurahi sana kuona ngoma zake nne zinapigwa kwenye kituo kikubwa cha MTV Base, anasikia furaha kubwa kuwa miongoni mwa maproducer wenye mafanikio,, imemuongeze nguvu ya kufanya kazi..Ngoma zinazopigwa kwenye kituo hicho ni pamoja na ‘Nusu Nusu’ ya Joh Makini, ‘Nana‘ ya Diamond, ‘Looking For u’ ya Jux na ‘Game’ ya Navy Kenzo.

NARE

Nahreel

Baada ya TMK kutoa tuzo zao sasa ni zamu ya kanda ya kati Dodoma ambapo nao wamemua kutoa tuzo kwa wasannii vijana ambao wanafanya vizuri..wameanzisha tuzo  inayoitwa ‘Nyambago Central Tanzania Awards’ itakayohusu muziki na filamu kwa wasanii wa kanda ya kati, haijalishi unafanyia ndani ya Mkoa au nje ya Mkoa husika…zimeanzishwa mwaka jana na zitakuwa zikitolewa kila mwaka.

Wasikilize hapa mtu wangu…

 

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments