Habari za Mastaa

‘Wanjera’ remix inakuja?, collabo ya Emmanuel Austin na mastaa wa Bongo je?, Damian Sol pia kasikika…#255 (Audio)

on

onnn

Wiki chache zilizopita Emanuel Austin aliachia video yake ‘Ruka Juu’ akimshirikisha Ben Pol, amesema aliamua kumshirikisha  kutokana na uwezo wake…pia amesema anatarajia kutoa ngoma nyingine na wasanii wa Bongo kama Ally Kiba, Ommy Dimpoz, Diamond na wengine ambao amepanga kufanya nao Collabo.

cvr

Ben Pol na Emanuel Austin

Pia Staa wa Nigeria Run Town anatarajia kufanya remix ya ‘Wanjera’ ya Ommy Dimpoz.., mkali wa ngoma hiyo amesema kuna promota ambaye aliwahi kufanya naye kazi Marekani ambaye aliwakutanisha na staa huyo kutaka kuifanyia remix nyimbo hiyo.

ommy

Ommy Dimpoz

Jana Mzee Chilo kutoka Bongo Movies alitoa sababu za wao kututumia sound Track za Bongo Fleva..leo Damian Sol amesema ni vymema kuonana na madirector wa movie za Bongo na kuzungumza..inawezekana ni uoga wao kwani wanahitaji kushirikiana ili wafike mbali.

damin

Damian Sol

Wasikilize hapa…

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments