Habari za Mastaa

Ufahamu wimbo ambao Christian Bella angependa kuurudia kama Cover (+Audio)..

on

Kama utakuwa ni mpenzi wa kufuatilia stori za entertaiment basi hizi hapa zisikupite, millardayo.com imekurekodia stori  zote za April 27 2016  ambazo zimepata airtime kupitia 255 ya XXL na moja ya Stori hizo ni hii ya msanii wa dance nchini Tanzania Christian Bella kaeleza ni wimbo gani angependa kuurudia kama cover.

Baada msanii huyo aliulizwa ni wimbo gani angependa kuurudia kuimba kama cover, alifunguka hivi……..

>>>’Mimi napenda sana kusikiliza nyimbo za kizungu ningependa kurudia ‘With you’ ya Chriss Brown, mimi siwezi kusikiliza tena ngoma za dansi kwenye gari yangu kwa sababu hizo ndio nyimbo nilizokuwa nazo, sasa hivi inabidi niwasikilize watu tofautitofauti‘:- Chritian Bella

20160503_145355

Kusikiliza Stori zote zilizopata airtime unaweza kubonyeza Play hapa chini Pia unaweza kuniachia comment yako….

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

ULIKOSA DAKIKA 18 ZA BURUDANI YA CHRISTIAN BELLA KWENYE SHOW  YA ‘THE FIRST FRIDAY’? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments