Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mama wa Ray C kuhusu mwanae, Barakah Da’ Prince kwenye ugomvi wa Edo Boy na Young Killer? Jux Je?..#255
Share
Notification Show More
Latest News
Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
February 2, 2023
Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Mama wa Ray C kuhusu mwanae, Barakah Da’ Prince kwenye ugomvi wa Edo Boy na Young Killer? Jux Je?..#255
Habari za Mastaa

Mama wa Ray C kuhusu mwanae, Barakah Da’ Prince kwenye ugomvi wa Edo Boy na Young Killer? Jux Je?..#255

September 11, 2015
Share
2 Min Read
SHARE

Ray C aliandika kwenye ukurasa wake wa @Instagram kuhusu ishu ya kutishiwa maisha… 255 ikapata nafasi ya kupiga stori na mama wa msanii huyo, amesema hajui chochote kuhusu maneno aliyoyaandika mtoto wake lakini haamini kama kuna kitu kibaya kitafanyika kwa mtoto wake, imani yake pia ni kwamba MUNGU anawalinda.


ccccccccccccc

Barakah Da’ Prince amesikika nae kwenye stori za leo, kulikuwa na story kwamba kuna ugomvi kati ya Edo Boy na Young Killer… Barakah amesema anawafahamu vizuri wote wawili kwa kuwa ameishi nao Mwanza.

Barakah amesema amemuita Edo Boy na kuzungumza naye na hawezi kutetea upande wowote kwa kuwa bado hajajua ukweli kuhusu chanzo cha ugomvi wao… kingine anachotaka kukifanya ni kuhakikisha anakaa na wote wawili ili muafaka upatikane.

baraa
Barakah Da Prince

Msanii Jux amesema tangu aingie kwenye muziki hajawahi kufanya show ndani ya Mbeya kwa kuwa mara nyingi msimu wa show anakuwa hayupo ingawa amekiri Mbeya kuna mashabiki wake wengi sana… Kesho jamaa atakuwa ndani yaMbeya pamoja na Kundi la Navy Kenzo, Vee Money pembeni pamoja na Weusi ambapo watu wa Mbeya watapata burudani ya muziki wake kwa mara ya kwanza.

juxxx
Jux

Wasikilize hapa…

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

You Might Also Like

Exclusive: Dully Vanny kwa uchungu azungumzia video chafu aliyotajwa, amtaja diamond na mama yake

Audiomack yazindua kampeni ya ‘Ngoma juu ya ngoma’ kukuza muziki wa kitanzania

Exclusive: Con boi kafunguka hana mawasiliano na Lunya,Quick Rocka, akumbuka kifo cha mpenzi wake

Mkali Burna boy ametuletea hii video mpya akiwa amemshirikisha Ed Sheeran

Tazama alichokifanya Diamond mbele ya Wizkid backstage, ampa Shavu Focalistic (video+)

Millard Ayo September 11, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Nuru the Light na #Hekaheka ya kukimbiwa na marafiki zake baada ya kuletwa bili mezani… (Audio)
Next Article Baada ya Soundcity kujibu kwa nini hawapigi Video za P Square, Manager wao nae kawaandikia haya…
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
Top Stories February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
Magazeti February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
Top Stories February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
Top Stories February 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama

February 2, 2023
Top Stories

Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha

February 2, 2023
Top Stories

Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu

February 2, 2023
Top Stories

liganga na Mchuchuma ngoma nzito, Waziri akubali hoja za Askofu Gwajima

February 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?