Mix

Sikiliza 255 ya Clouds FM kupitia XXL Jumanne Novemba 11, 2014.

on

255 Nov

Kwenye 255 ya leo sehemu ya utakayoyasikia ni pamoja na stori kuhusu kesi ya msanii Chid Benz  katika mahakama ya Kisutu leo, Rais Kikwete kutuma salam za rambirambi kutokana na kifo cha msanii Amigolas na pia kutoka kwa msanii Amini ndani ya THT.

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments