Mix

Lowassa, Mwalimu kujiua na story nyingine 25 asubuhi ya leo June 28, 2017

on

Story kubwa leo June 28, 2017 ambazo zimepewa uzito kwenye vyombo mbalimbali vya habari kama vile Televisheni, Radio na Magazeti ni pamoja na issue ya Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa kuhojiwa na DCI kwa saa 4.

Pia zipo story nyingine kuhusu siasa, uchumi, jamii na utamaduni ambazo zimepewa headlines kwenye mitandao ya kijamii miongoni mwao ni Mwalimu ya Sekondari aliyejiua akiacha ujumbe kwa wanaomdai waende kwa Mkurugenzi.

Zote hizo na nyinginezo ambazo hukuzisikia, kuziona wala kusizoma nimekukusanyia na kupitia millardayo.com zitakufikia kwa namna ile ile.

Lowassa ahojiwa Makao Makuu ya Polisi kwa saa nne!!!

Soma na hizi

Tupia Comments