Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: PICHA 6: Taifa Stars imeshindwa kupata matokeo nyumbani dhidi ya Rwanda
Share
Notification Show More
Latest News
Morgan Heritage kuachia album wasanii 16 washirikishwa
March 23, 2023
Baada ya uchaguzi kufutwa Arusha, makada wawili wajitokeza kuchukua fomu yupo mbunge na kada gonga
March 23, 2023
Serikali yashauriwa kuongeza Bajeti ya Usimamizi wa Usalama na Afya nchini
March 23, 2023
Mohammed Hussein afunguka haya kuhusu kutoitwa kwenye timu ya Taifa, ‘Taifa Stairs’
March 23, 2023
DC Jokate Mwegelo awataka hili Wafanyabiashara Wilayani humo ‘Bei za Vyakula’
March 23, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > PICHA 6: Taifa Stars imeshindwa kupata matokeo nyumbani dhidi ya Rwanda
Sports

PICHA 6: Taifa Stars imeshindwa kupata matokeo nyumbani dhidi ya Rwanda

July 15, 2017
Share
2 Min Read
SHARE

Jumamosi ya July 15 2017 timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars kwa wachezaji wanaocheza Ligi za ndani ilicheza game yake ya kwanza ya kuwania kufuzu kucheza michuano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza Ligi za ndani CHAN 2018 dhidi ya timu ya taifa ya Rwanda katika uwanja wa CCM Kirumba.

Taifa Stars ambayo ilikuwa nyumbani na italazimika kusafiri hadi Kigali tarehe 23 July kucheza mchezo wa marudiano, imelazimishwa sare ya kufungana goli 1-1, licha ya kuwa na sapoti kubwa ya mashabiki Taifa Stars walianza kuruhusu goli dakika ya 17 Rwanda wakaanza kuongoza kwa goli la Dominique Nshuti.

Mchezo ulizidi kuwa mgumu na hali ya mpira ikiwa asilimia 50 kwa 50, Taifa Stars wakapata goli la kusawazisha dakika ya 34 kupitia kwa nahodha wa Taifa Stars Himid Mao aliyefunga kwa mkwaju wa penati baada ya Lucogoza Aimambe wa Rwanda kuushika mpira katika eneo la hatari.

Taifa Stars sasa atakuwa na mtihani mzito July 23 2017 mjini Kigali Rwanda, watatakiwa kufunga kuanzia goli 1-0 au atoe sare ya kuanzia magoli 2-2 ili afuzu hatua inayofuata, Taifa Stars sasa itaendelea kuwepo jijini Mwanza hadi July 19 kwa ajli ya maandalizi ya mchezo wa marudiano.

VIDEO: Ulinzi aliyoingia nao Wayne Rooney uwanja wa Taifa leo

You Might Also Like

Mohammed Hussein afunguka haya kuhusu kutoitwa kwenye timu ya Taifa, ‘Taifa Stairs’

Simba SC waingia Mkataba na MobiAd

Simba yaandika historia Ligi ya Mabingwa Afrika

Sheria Ngowi kutengeneza jezi za Zanzibar Heroes kwa miaka mitano

Yanga: Fedha za Rais Samia zinaleta ari kubwa

TAGGED: Soka bongo
Rama Mwelondo TZA July 15, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article TRA kuvifungulia baadhi ya Vituo vya Mafuta ilivyovifungia DSM (+Video)
Next Article Kufikia 2030 Afrika itakuwa na idadi hii ya vijana…vipi kuhusu Tanzania?
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Morgan Heritage kuachia album wasanii 16 washirikishwa
Entertainment March 23, 2023
Baada ya uchaguzi kufutwa Arusha, makada wawili wajitokeza kuchukua fomu yupo mbunge na kada gonga
Top Stories March 23, 2023
Serikali yashauriwa kuongeza Bajeti ya Usimamizi wa Usalama na Afya nchini
Top Stories March 23, 2023
Mohammed Hussein afunguka haya kuhusu kutoitwa kwenye timu ya Taifa, ‘Taifa Stairs’
Sports March 23, 2023

You Might also Like

Sports

Simba SC waingia Mkataba na MobiAd

March 23, 2023
Sports

Simba yaandika historia Ligi ya Mabingwa Afrika

March 22, 2023
Sports

Sheria Ngowi kutengeneza jezi za Zanzibar Heroes kwa miaka mitano

March 18, 2023
SportsTop Stories

Yanga: Fedha za Rais Samia zinaleta ari kubwa

March 17, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?