Maumivu ya mapenzi mpaka India, soma hii ya kifo cha ghafla cha mke wa Waziri
Share
4 Min Read
.
SHARE
Kimetokea kifo cha gafla cha mkewawazirimmoja huko Indiabaada yautata kati yake na umma ambapo alimtuhumu mumewake kuwa namahusiano ya kimapenzi na mwanamke mwingine ambapo kifo hicho kilikua cha ajabu na ghafla, hiyo ni kauli ya msemaji wa hospitali.KifochaSunandaPushkarkilikujasiku chachetubaada yavyombo vya habarihuko India kutoa taarifa kwambaaliingia kwenye akaunti ya twitter ya mumeweShashiTharoornakuandika ujumbe kwambayeyealikuwa nauhusiano wa kimapenzi namwandishi wa habariwa Pakistan.Pushkaralikutwa amefariki kwenyechumba chakekatikahoteli ya nyota tanohukoNewDelhi ambapo CNN-IBNilitoataarifahiyoIjumaa na mwili wakeulipelekwa kwenye kituo kiitwacho All India Institue of Medical Sciences kufanyiwa uchunguzi zaidi.
“Postmortemimekamilika,tunatumasampuli kwa ajili yatoxicologyuchambuzi wautawala wa sumu,” DkSudhirGupta,mkuu wa bodi yaautopsykatika hospitali, aliiambiaCNN.
“Hii ni ripoti ya awali lakini tunaweza kusema kilikua kifo cha ghafla na sio cha kawaida kwakua kulikuwa na majeraha fulani kwenye mwili wake lakini hatuwezi kutoa maelezo ya kina kwa sasa ila ripoti ya mwisho itatolewa baada ya siku chache’Wanandoa hawa walikuwa wanakaa kwenya hoteli hiyo kwa siku chache kwa mujibu wa Abhinab Kumar, msaidizi wa Tharoor.
Mwandishi wa habari wa Pakistan aliyetuhumiwa na Pushkar , Mehr Tarar alikanusha hizi stori kwenye makala ya website moya ya New Delhi Television.
Siku ya Alhamisi, siku moja kabla ya kifo Pushkar, Tarar alisema ujumbe uliowekwa kwenye akaunti ya twitter ni “madai pori. ” na kwamba “tweets zake kwangu ni za ukichaa na nnachoweza kufanya ni kucheka tu, ” Tarar alisema.
Baada ya kifo cha Pushkar kutangazwa, Tarar alieleza kushtushwa na tukio hilo kwenye akaunti yake ya Twitter.
“Mimi nimeamka na kusoma taarifa hii, nimeshtushwa sana na tukio hilo. inasikitisha sana na inaleta huzuni sana nakosa cha kusema, Mungu ailaze mahali pema roho ya Sunanda”
Tarar alizungumza na CNN siku ya Ijumaa akielezea huzuni juu ya kifo Pushkar haya yakiwa maneno yake >>> “usiku mzima nimekosa usingizi, nimeshindwa kula hata kunywa maji, tulikua na ugomvi kwenye akaunti ya twitter baada ya hapo nasikia amekufa, sikuweza hata kupata nafasi ya kumpigia simu tuongee kumaliza tofauti zetu, alionekana mtu mwenye furaha muda wote na tabasamu zuri, lakini namna ambayo yeye alikufa imeniuma sana na itaniuma kwa muda mrefu.”
Tararpiaalisema madaiya Sunanda yalikuwa ya uongo.“Miminlikutana nawazirimara mbilitukatika maisha yangu yotenadaimambele yawatu wengine, tulikuwa tukiwasilaina hadiJunina kishaalikuwa akinitumia barua pepe mara mojaau mbilikatikawiki.“Pushkar, mfanyabiasharakutokaDubainaTharoorwalifungandoamwaka 2010.
Tharoorniwaziriwa rasilimali za binadamu na maendeleoIndiananimbunge pia, alikua waziri wa zamani wamambo yanjenawa zamani waUmoja wa Mataifachini yakatibu mkuu.