Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Zile mali za mastaa, mwimbaji Barnaba nae katuonyesha hii ndio nyumba aliyojenga.
Share
Notification Show More
Latest News
PICHA: Matukio ya Mkutano Mkuu wa CAF uliyofanyika Tanzania
August 11, 2022
Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
August 11, 2022
Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani
August 11, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mali za Mastaa > Zile mali za mastaa, mwimbaji Barnaba nae katuonyesha hii ndio nyumba aliyojenga.
Mali za MastaaNyumba/ Mijumba

Zile mali za mastaa, mwimbaji Barnaba nae katuonyesha hii ndio nyumba aliyojenga.

January 21, 2014
Share
1 Min Read
SHARE

Screen Shot 2014-01-22 at 1.38.10 AMSio kwamba mastaa wa zamani wa bongofleva hawakuwa wanapata chochote kwenye malipo kutokana na kazi zao bali  imefahamika kwamba mipangilio na matumizi mazuri ya fedha havikuzingatiwa sana kwa baadhi ya Wasanii wachache ambao walibahatika kuzipata pesa nyingi zilizotokana na mauzo ya kanda na show.

Wasanii wengi wa bongoflevani sasa hivi wameshtukia mchezo ndio maana wengi wao wanaingia kwenye headlines za kuonyesha mali zao kama nyumba na magari siku kadhaa tu baada ya kusikika kwenye chati za bongofleva ambapo hii kwa kiasi kikubwa ni kutokana na malipo ya show zao, wengine mauzo ya nyimbo kwenye miito ya simu, dili za makampuni na ishu nyingine.

Barnaba ni miongoni tu mwa waimbaji wenye talent zao na amekua akifanya showz mbalimbali hata nje ya Tanzania pamoja na kupata dili za mashirika/taasisi mbalimbali na kufanya nao kazi zikiwemo za ubalozi mfano Pepsi, Barclays Bank na wengine kama unavyoweza kuona moja ya stori zake za mwaka 2013.

Screen Shot 2014-01-22 at 1.54.05 AM

Screen Shot 2014-01-22 at 1.54.22 AMBaada ya kuiweka hiyo picha ya nyumba kwenye instagram yake Barnaba aliiambatanisha na hiki hapa chini

Screen Shot 2014-01-22 at 1.38.21 AMBarnaba ameidondosha hii picha ya nyumba yake mwezi mmoja tu baada ya kudondosha picha za gari lake jipya ambalo ni Toyota Mark X.

Screen Shot 2014-01-22 at 1.40.04 AM

Screen Shot 2014-01-22 at 1.40.16 AM

Screen Shot 2014-01-22 at 1.42.05 AM

You Might Also Like

PICHA 10:Unahitaji Nyumba au kupanga Mikocheni, Palm Village wana habari njema

Harmonize anaweka historia, hawa Staa wa kwanza kufungua mgahawa

Mahaba ya Barnaba na Mama mtoto wake yameanza kurudi upya.? chanzo wimbo mpya ‘Washa’

“Simjui Peter, Casto hakumzika mwanae.. Muna amefanya vizuri” –MC PILIPILI (+video)

Staa wa movie Hollywood anadaiwa kufanya unyanyasaji wa kingono

Millard Ayo January 21, 2014
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Unayataka magoli yaliyofungwa na Yanga huko Uturuki dhidi ya Simurk PIK? video iko hapa
Next Article Umeliona tangazo la TV alilofanya Michelle Obama? liko hapa kama hujaliona. @letsmove
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

PICHA: Matukio ya Mkutano Mkuu wa CAF uliyofanyika Tanzania
Sports August 11, 2022
Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
Top Stories August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
Top Stories August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
Top Stories August 11, 2022

You Might also Like

Top Stories

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’

August 11, 2022
Top Stories

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’

August 11, 2022
Top Stories

Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani

August 11, 2022
Top Stories

“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro

August 11, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?