Mix

GOOD NEWS imetangazwa na Mikono Speakers, ni hii ya Complimentary Tickets

on

Ninayo good news ambayo napenda nikufikishie mtu wangu ambayo nimefikishiwa na Kampuni ya Mikono Speakers na wanapenda pia ikufikie.

Ninazo Complimentary Tickets zaidi ya 500 ambazo zitakuwezesha mtu wangu wa nguvu kuhudhuria Mkutano na Maonyesho ya Dar construction Trade Expo 2017 ambayo yatafanyika katika Ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Center Dar es Salaam August 17 na 18, 2017.

Good news ni kwamba mikutano kama hii inakupa nafasi nzuri ya kufahamiana na watu pamoja na makampuni mbalimbali nchini kwa wakati mmoja.

Ili kupata complimentary ticket yako bonyeza hapa https://www.eventbrite.com/e/dar-construction-trade-expo-2017-tickets-33019392893

Tupia Comments