Michezo

Unalitaka goli la Chelsea vs Man City, pass success na mengine? yote yako hapa

on

Screen Shot 2014-02-04 at 1.39.35 AMKuna video mbili nimeweka hapa mtu wangu lakini pia hapa unayo nafasi ya kutazama takwimu kama za fouls, yellow cards, offsides, pass success na mengine.

Kingine ambacho millardayo.com inakupatia kwa sasa ni zawadi ya vocha ya elfu kumi ya mtandao wowote uliopo, zawadi hiyo utaipata kama utapatia kukisia ni moja ya vichwa vya habari kuhusu hii stori kesho kwenye magazeti ya Tanzania.

Screen Shot 2014-02-04 at 1.37.26 AM

Tupia Comments