Ad
Ad

Mix

Wyclef Jean alipokutana na boss wa Clouds Media Group

on

Screen Shot 2014-02-04 at 11.00.52 AM

Managing director wa Clouds Media Group Joseph Kusaga ambae yupo Abu Dhabi kushughulikia mipango ya mwishomwisho kabla ya Clouds TV International kuanza kurusha matangazo yake kwenye nchi za kiarabu, alipata nafasi ya kukutana na Wyclef huko Dubai.

‘Nilipata nafasi ya kukutana na rafiki yangu Wyclef Jean nchini Dubai ambapo tulipata nafasi ya kuzungumzia mambo mbalimbali kwa mapana pamoja na kuzungumzia maono yetu ya maendeleo ya Afrika kutumia technolojia mpya pamoja na lengo la kupata maudhui kutoka Africa na kuyapeleka duniani kote, pia kuleta usawa katika maudhui ya kisiasa dunia kote’ – Joseph Kusaga

Tupia Comments