Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Nyerembe D. Munasa Sabi akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Tawi la NMB Usa River Bernadetha Mmary mara baada ya kuzindua tawi na kulitembelea ndani.
SHARE
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Nyerembe D. Munasa Sabi akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Tawi la NMB Usa River Bernadetha Mmary mara baada ya kuzindua tawi na kulitembelea ndani.
Ni furaha kubwa kuona benki inayokuhudumia imefungua tawi pembeni ya nyumba yako au mazingira unayoishi… najua sasa hivi watu wangu wa Maji ya chai, King’ori, Kikatiti, Makumira, Tengeru na maeneo ya karibu watafaidika na hii.
Sehemu ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla ya uzinduzi huu wakifurahia ufunguzi wa tawi jipya la NMB Usa RiverMkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Nyerembe D. Munasa Sabi (kati) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa tawi la NMB Usa River.Wakishuhudia kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Biashara kwa Wateja Wakubwa wa Benki ya NMB, Richard Makungwa pamoja na Meneja wa NMB Kanda ya Kaskazini, Vicky Bishubo . Hafla ya uzinduzi wa tawi hili la NMB Usa River umefanyika mwanzoni mwa wiki katika viwanja vya tawi hili mkoani Arusha.