Habari za Mastaa

Kwa unaefatilia muziki wa Nigeria, video namba 1 kwa sasa ni hii

on

Screen Shot 2014-02-08 at 1.52.35 AMAnaitwa Eniola Akinbo lakini la ustaa ni Niyola, mkali alieanza kuimba toka akiwa na miaka 8 ambapo miaka kadhaa baadae alifanya kazi na kampuni kadhaa zinazomiliki wanamuziki Nigeria kabla ya kukutana na Banky W, mwimbaji/producer aliemtoa Wizkid.

Maelezo ya Banky ni kwamba alimgundua Niyola mwaka 2002…. tumia time yako kutazama video yenyewe hapa chini ambayo TV maarufu ya burudani Nigeria (Sound city) inasema hii ndio video namba moja sasa hivi kwenye TOP10 ya Naija.

Tupia Comments