Michezo

PICHA 10: Mastaa wa soka Bongo Niyonzima, Kaseja, Okwi, Manula na Himid wakiwa na wake zao

on

Imekuwa ni kawaida kwa baadhi ya mastaa wa muziki kuonekana hadharani au katika mitandao ya kijamii wakiwa na wapenzi wao, inawezekana pia umewahi kuwasikia au kuwaona mastaa mbalimbali wa soka Tanzania lakini hujawahi kupata nafasi ya kuwaona wakiwa na wake zao.

Leo February 17 2018 naomba nikusogezee upande wa pili wa maisha binafsi ya mastaa wa soka wa Bongo kama staa wa soka wa Simba Emmanuel Okwi, Haruna Niyonzima, Aishi Manula, Frank Domayo, Juma Kaseja na Himid Mao hawa ni baadhi ya mastaa wa soka wa bongo ambao tayari wameamua kuingia kwenye maisha ya ndoa.

Golikipa namba moja wa Simba Aishi Manula

Golikipa namba moja wa Simba Aishi Manula akiwa na mkewe

Aishi Manula akiwa na mkewe

Mshambuliaji wa Simba raiwa wa Uganda Emmanuel Okwi

Emmanuel Okwi na mkewe Flora wakati akiwa mjamzito

Okwi na mkewe Flora

Okwi na mkewe Flora walipofunga ndoa

Frank Domayo

Frank Domayo wa Azam FC na mkewe siku ya harusi yao

Nahodha wa Azam FC Himid Mao

Himid Mao akiwa na mkewe Nana

Himid Mao akiwa na mkewe Nana pamoja na mtoto wao Balqis

Kutoka kushoto ni Haruna Niyonzima akiwa na wachezaji wenzake wa Simba SC

Niyonzima akiwa Aiport na mkewe

Niyonzima akiwa na mkewe siku ya Birthday ya mke wake.

Golikipa wa Kagera Sugar Juma Kaseja

Juma Kaseja akiwa na mkewe Nasra

Juma Kaseja na mkewe Nasra

Haji Manara amewasikia wanaoibeza Simba kutoka sare ya 2-2 vs Mwadui FC

Soma na hizi

Tupia Comments