Mix

Kingine kizuri kutoka Vodacom kupitia Promosheni ya Tusua Mapene

on

Ninayo good news leo kwa watu wangu wa nguvu ambayo nimefikishiwa na Vodacom Tanzania ambayo pia nisingependa ikupite mbali.

Naambiwa Vodacom Tanzania imewaletea wateja wake na watanzania wote promosheni mpya kabambe ambayo inajulikama kama ‘Tusua Mapene’ inayokusudia kuwawezesha wateja na wananchi ambao watajiunga na Vodacom kushiriki katika bahati nasibu na kujishindia fedha hadi Tsh. Milioni 150 ndani ya siku 150.

Unaambiwa Promosheni hii inampa mteja fursa mteja wa Vodacom kushiriki kupitia ujumbe mfupi wa maneno, huduma ya M-pesa au mitandao ya kijamii ambapo KILA SIKU atapatikana mshindi mmoja wa Tsh. Milioni 100, washindi watano wa Tsh. Milioni 20 na mshindi moja wa Tsh. 15 huku mshindi wa mwisho wa promosheni (Grand draw) atajishindia Tsh. Million 150.

Ukitaka kushiriki katika promosheni hii unatuma neno  “CHECK” au “VODA” kupitia ujumbe mfupi wa maneno kwenda namba 15544, kwa gharama ya Tsh. 300 tu ikijumuisha kodi kwa kila ujumbe.

Tupia Comments