Burudani

UTACHEKA: John Cena kaambiwa aimbie ‘John Cena’ ya Sho Madjozi

on

Ni Headlines za mcheza mieleka ambae kwasasa vichwa vya habari vimerudi huko Marekani baada ya msanii wa Afrika Kusini aitwae Sho Madjozi kutumia jina lake katika wimbo wake uitwao John Cena.

Sasa utacheka pale ambapo John Cena alipofika katika kipindi cha Strahan Sara and Keke huko Marekani na kuambiwa aimbie wimbo huo wa msanii wa Afrika Kusini itazame hii video hapa

ULIIKOSA HII YA VANESSA MDEE ALIKUTANA NA ROTIMI BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments