Habari za Mastaa

PICHA 20: Kutoka katika uzinduzi wa Foundation ya Baby J

on

Muimbaji Baby J kutoka visiwani Zanzibar usiku wa March 18 2017 aliwaalika watu mbalimbali katika uzinduzi wa Foundation yake ambayo itakuwa inajishughulisha na kusaidia wanamuziki wa kike kwa upande wa Zanzibar, uzinduzi wa Foundation ya Baby J ameifanya wakati wa Birthday Party yake.

Baby J ambaye ni moja kati ya wasanii wa kike wenye majina makubwa hususani visiwani Zanzibar aliwaalikwa watu mbalimbali katika uzinduzi huo wakiwemo wasanii wenzake Dogo Janja, Chege na mameneja Babu Tale na Mkubwa Fella.

 

FULL VIDEO: 40 ya Najeem wa Meninah March 18, 2017

Soma na hizi

Tupia Comments