Top Stories

Kesi ya Walimu waliodaiwa kumchapa Mwanafunzi hadi kufariki yaanza kusikilizwa

on

Walimu wawili Respius Mtazangira na Elieth Gerald wanaotuhumiwa kwa mauaji ya aliyekuwa mwanafunzi Spelius Eradius wa Shule ya Msingi Kibeta iliyopo Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera wamefikishwa tena Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba na shauri lao limeanza kusikilizwa kwa mara ya kwanza ambapo leo amesikilizwa shahidi mmoja kati ya 25 wa upande wa Jamhuri.

UNHCR WAMFUATA RAIS MAGUFULI IKULU WAMUOMBA RADHI “HATUTARUDIA TENA”

Soma na hizi

Tupia Comments