Habari za Mastaa

2 Chainz asingekuwa rapper angefanya nini?, Msikie mwenyewe ndani ya ‘If I Didn’t Rap’ – (Video)

on

485621901EM025_Floyd_Maywea

Baada ya kuweka headlines nyingi na wimbo wa Trapavelli na Pop-up Shop msanii wa Hiphop kutoka Marekani 2 Chainz amerudi kuziandika headlines za leo kwenye kurasa za burudani na video ya wimbo wake mpya ‘If I didn’t Rap‘.

2 chainz

Kama bado hujabahatika kukutana na video wa wimbo huu, karibu uitazame video hiyo hapa chini mtu wangu.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments