Premier Bet SwahiliFlix Ad Vodacom Ad

Michezo

Mchezaji bora wa UEFA 2018/2019 atajulikana August 29 2019

on

Baada ya kuwa na msimu mzuri akiwa na Liverpool beki Virgil van Dijk wa ametangazwa kuwa sehemu ya wachezaji wa tatu watakaowania tuzo ya mchezaji bora Ulaya (UEFA) msimu wa 2018/2019.

UEFA leo limetangaza majina matatu ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa kiume wa Ulaya, Cristiano Ronaldo wa Juventus na Lionel Messi wa FC Barcelona wakiwa katika list hiyo.

Van Dijk anaungana Messi na Ronaldo baada ya kuwa na msimu mzuri akiwa na Liverpool ikiwemo UEFA Champions League ikiwemo kutwaa taji hilo kwa kuifunga Tottenham 2-0 katika jiji la Madrid, August 29 siku ya upangaji wa Makundi ya UEFA Champions League ndio itajulikana.

Soma na hizi

Tupia Comments