Habari za Mastaa

Ni zamu ya video ya 2FACE ya wimbo wa ‘Dance Go’ collabo amepewa WIZKID

on

2Face

Tumeona Wanaija walivoamua kukusanya nguvu ili kuiteka game ya muziki 2015, 2face naye kaamua kufanya collabo na staa mwingine wa Nigeria, Wizkid wimbo unaitwa ‘Dance Go‘.

Imeshatoka rasmi kabisa, kwako shabiki wa mastaa hao wawili, enjoy na video hii.

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments