Mix

VIDEO: Kinachochelewesha Farid Musa kwenda kucheza Tenerife ya Hispania

on

Kama utakuwa unakumbuka vizuri Farid Musa wa Azam FC alifuzu majaribio katika klabu ya Tenerife ya Hispania na alitakiwa kurudi, afisa habari wa Azam FC Jafari Iddi ana majibu ya kwa nini bado Farid yupo Dar es Salaam na hajaenda Hispania.

“Kwa upande wetu sisi Azam FC kama klabu tumekamilisha kila kitu na ITC tayari tumeshaituma kwenda klabu ya Tenerife ya Hispania, Farid yupo Tanzania bado anasubiria vibali vipatikane lakini kila kitu kipo sawa na Azam FC tumemtoa katika usajili wetu kutokana na kuwa anaondoka”

ALL GOALS: Yanga vs Simba October 1 2016, Full Time 1-1

Soma na hizi

Tupia Comments