AyoTV

Video ya magoli ya Simba vs Jamuhuri, Full Time 2-2 Kombe la Mapinduzi Jan 4 2016

on

Mtu wangu wa nguvu baada ya kuchezwa mchezo wa kwanza wa Kundi A kati ya URA ya Uganda dhidi ya JKU ya Zanzibar jioni ya January 4. Usiku wake ulipigwa mchezo wa pili wa Kundi hilo kati ya Simba na Jamuhuri ya Pemba. Mchezo wa Simba dhidi ya Jamuhuri ulimalizika kwa sare ya goli 2-2 na kufanya timu zote mbili kugawana point moja moja. Mtu wangu naomba nikusogezee video ya magoli ya mchezo wenyewe.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments