Habari za Mastaa

Wolper na Harmonize uso kwa uso kwa Diamond

on

Muimbaji wa Bongofleva Harmonize amekutana na mpenzi wake wa zamani Jackline Wolper wakiwa kwenye Birthday Party ya Diamond Platnumz, Wolper na Harmonize ambao waliachana ndio kwa mara ya kwanza wamekutana hadharani mbele za watu baada ya kuachana.

Style aliyoitumia Idris kumuwish Diamond, haijamfurahisha Hamisa

Soma na hizi

Tupia Comments