Top Stories

Migogoro ya wakulima na wafugaji Kisarawe, DC Jokate kazungumza (+video)

on

Sakata la Migogoro ya wafugaji na wakulima Kisarawe lapelekea mkuu wa Wilaya hiyo Jokate Mwegelo kuwataka wakulima na wafugaji wa wilayani na viongozi wa ngazi zote humo kufuata Sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa kuanzia ngazi ya kijiji mpaka Wilaya ili kuepusha migogoro ambayo imekuwa ikitokea mara kwa mara ya wafugaji na wakulima

Hii imekuja baada ya mkuu wa Wilaya kutembelea kijiji cha Gwata na kukuta migogoro ambayo ilikuwa ikichangiwa na Mwenyekiti na Mtendaji ambao wote walichukuliwa hatua baada ya DC Jokate kutoa maagizo kwa Mkurugenzi juu ya Mtendaji, na Mwenyekiti wa kijiji hicho akachukua uamuzi wa kujiuzulu.

Na leo hii wafugaji waliopeleka mifugo kijiji cha kisanga na kusababisha uharibifu wa mazao bila utaratibu wamesomewa Mashataka yao katika mahakama ya Wilaya ya Kisarawe.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama Video.

JACQULINE MENGI AMWAGA MACHOZI MBELE YA WAJANE WENZIE “KILA MWANADAMU ATAONJA UMAUTI”

Soma na hizi

Tupia Comments