Video Mpya

Video: Eric Omondi alivyozirudia Waka Waka, Sikomi, Nitarejea za Diamond

on

Mchekeshaji kutokea nchini Kenya Eric Omondi amerudi kwenye headlines tena baada ya kuendelea na utamaduni wake wa kupenda kuzirudia ngoma za staa wa Bongofleva za Diamond Platnumz katika stahili yake ya uchekeshaji, time hii Eric Omondi ametoa video inayoonesha amezirudia Nitarejea, Mbagala, Salome, Sikomi na Waka Waka zote katika video ya pamoja.

Stori ya Diamond na Tunda imefikia hapa?

Soma na hizi

Tupia Comments