Habari za Mastaa

Video: Ukweli kuhusu ndoa ya Riyama na Leo Mysterio.

on

Ni kazi yangu kila sikukukusogezea stori zote zinazochukua headlines, Julay 1 2016 nakukutanisha na Perfecto TV, kuzijua zote za entertaiment zilizochukua headlines moja kati ya stori zilizochukua headlines ni pamoja na hii ya mrembo kutoka kiwanda cha filamu Tanzania Rimaya Ally kuhusiana kufunga ndoa na staa kutoka Bongoflevani LeoMystereo.

Ile picha ni suprise subiri kuna kitu kinakuja na kil kitu kitakuwa wazi na mimi si mara yangu ya kwanza kuonekana na picha za harusi kwanza kazi yangu inaniruhusu mimi kupiga picha hata za kuwa mshenga, unajua watu wasipende kuongea vitu ambavyo hawavijui wasubiri mpaka mtu mwenyewe aongee jamani hakuna ndoa ya siri‘>>>Riyama Ally

ULIMISS HII PARTY YA KUMKARIBISHA RICH MAVOKO WCB ITAZAME HII VIDEO HAPA CHINI…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments