AyoTV

VIDEO:Marioo ‘Toto Bad’ alivyoimba Chibonge live kwenye stage fiesta Arusha 2019

on

Ni Headlines za Marioo a.k.a Toto Bad ambae October 26, 2019 alikuwa miongoni mwa wasanii waliotoa burudani ya nguvu kwenye tamasha la Fiesta 2019 lililofanyika mkoani Arusha  katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Itazame hii video hapa ujionee balaa la Marioo katika jukwaa la fiesta 2019 mkoani Arusha

UTAIPENDA HII JUX ALIVYOWAIMBIA LIVE WAKAZI WA ARUSHA KATIKA JUKWAA LA FIESTA 2019

Soma na hizi

Tupia Comments