Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Baada ya Simba kumfungia mechi 5, imeripotiwa kaamua kujiunga na Yanga na kuomba jezi namba 25
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023
February 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 3, 2023
February 3, 2023
Breaking: Sheikh Mkuu DSM atumbuliwa, sakata la Dr Mwaka na mkewe
February 2, 2023
Mason Greenwood afutiwa mashtaka
February 2, 2023
Tanzania Ligi namba 5 kwa Ubora Afrika
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Baada ya Simba kumfungia mechi 5, imeripotiwa kaamua kujiunga na Yanga na kuomba jezi namba 25
Sports

Baada ya Simba kumfungia mechi 5, imeripotiwa kaamua kujiunga na Yanga na kuomba jezi namba 25

May 6, 2016
Share
2 Min Read
SHARE

Baada ya uongozi wa klabu ya Simba April 20 2016 kutangaza kumfungia mechi tano mchezaji wao Hassan Kessy kwa sababu za kucheza faulo ambayo ilimpelekea kuoneshwa kadi nyekundu na kuigharimu timu, usiku wa May 5 2016 mtandao wa salehjembe umeripoti kuwa beki huyo yupo katika hatua za mwisho kusaini Yanga.

Katika mahojiano na salehjembe Kessy na meneja wake Hassan Tippo ‘Zizzou’ wamekubali kuwa wamefanya mazungumzo na Yanga na wapo katika hatua za mwisho kusaini mkataba Ijumaa ya May 6 2016, lakini pia Kessy  anadaiwa kuomba apewe jezi namba 25 ambayo ilikuwa inatumiwa na Emmanuel Okwi wakati yupo Yanga.

DSC_0019
Hassan Kessy

Hassan Kessy anaripotiwa kukaribia kumaliza mkataba ndani ya klabu ya Simba, lakini amefungiwa mechi 5 na Simba baada ya kumchezea faulo inayodaiwa kuwa ni ya makusudi Christopher Edward katika mchezo kati ya Simba dhidi ya Toto Africans.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

VIDEO SIMBA WALIPOTANGAZA KUMFUNGIA MECHI 5 HASSAN KESSY APRIL 20 2016

You Might Also Like

Mason Greenwood afutiwa mashtaka

Tanzania Ligi namba 5 kwa Ubora Afrika

Mchezaji mwenye umri mkubwa (55) asaini Ureno

PSG wachukizwa na Chelsea kukwamisha usajili wa Ziyech

Enzo avunja rekodi ya Uingereza usajili

TAGGED: Soka bongo
Rama Mwelondo TZA May 6, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Magazeti ya Tanzania yameamka na hizi leo May 6 kwenye Udaku, Hardnews na michezo
Next Article VIDEO: Matukio 10 ya kushtua katika historia ya michuano ya Kombe la Dunia
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023
Magazeti February 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 3, 2023
Magazeti February 3, 2023
Breaking: Sheikh Mkuu DSM atumbuliwa, sakata la Dr Mwaka na mkewe
Top Stories February 2, 2023
Mason Greenwood afutiwa mashtaka
Sports February 2, 2023

You Might also Like

Sports

Tanzania Ligi namba 5 kwa Ubora Afrika

February 2, 2023
Sports

Mchezaji mwenye umri mkubwa (55) asaini Ureno

February 2, 2023
Sports

PSG wachukizwa na Chelsea kukwamisha usajili wa Ziyech

February 1, 2023
Sports

Enzo avunja rekodi ya Uingereza usajili

February 1, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?