Burudani

Uzinduzi wa movie ya Gemini Man imewakutanisha wake za Will Smith

on

NI Msanii wa filamu kutoka Marekani Will smith ambae ameingia kenye vichwa vya habari baada ya kupiga picha aina ya selfie na Ex wake aitwae Sheree Zampino  pamoja na mke wake wa sasa Jada Pinkett Smith katika uzinduzi wa filamu mpya iitwayo Gemini Man huko Marekani

Historia fupi  Imeelezwa Will Smith mwaka 1992 alifunga ndoa na mwanadada Sheree Zampino kwa ndoa iliyodumu miaka 3 na kufanikiwa kupata mtoto wa kiume aitwae Willard Carrol a.k.a Trey Smith.

Pichani ni Will Smith akiwa na mke wake wa kwanza (EX Wife) aitwae Sheree Zampino kwenye uzinduzi wa filamu yake mpya iitwayo Gemini Man

Mnamo Mwaka 1995 Will Smith akaingia kwenye headlines kuachana na mwanadada huyo huku ikiwa tayari wameshapata mtoto mmoja aitwae Trey Smith.

Pichani Wake wawili wa Will Smith kushoto ( Sharpe Zampion EX Wife & akiwa na Mke wa sasa Jada Pinkett smith

Hiv karibuni Will Smith akaingia tena kwenye vichwa vya habari baada ya kuonekana akiwa katika picha ya pamoja Ex wake na mke wake wa sasa Jada Pinkett Smith katika uzinduzi wa filamu mpya itwayo Gemini Man uliofanyika huko Marekani.

Will Smith kwasasa ana jumla ya watoto watatu akiwemo Jaden Smith,  Willow smith  na Trey smith

Tupia Comments