AyoTV

AUDIO: Ukimuuliza kocha Liewig kuhusu uhusiano wake na Elias Maguli, atasema hivi

on

October 28 kocha mfaransa Patrick Liewig aliyekuwa akizungumzwa kama kocha mwenye matatizo sana na wachezaji, amefunguka katika exclusive interview na Amplifaya ya Clouds FM, Liewig amefunguka na kueleza mahusiano yake na wachezaji kama Elias Maguli na sababu zilizomfanya aamue kuweka benchi wakati fulani.

“Nilimuweka benchi katika kipindi cha miezi miwili kwa sababu hakuwa pamoja na timu baadae niliongea nae, lakini wachezaji wengi wanapoteza vipaji vyao kwa sababu wanasikiliza watu ambao sio sahihi”

“Nilikuwa na Nikolaos Anelka wakati akiwa timu ya vijana ya PSG chini  ya umri wa miaka 16, 17, 18 na 19 sikuwa na tatizo nae alikuwa ni mchezaji mzuri lakini baadae akaondoka zake Arsenal, Real Madrid baadae akarudi PSG kwa sababu ya watu ambao walikuwa wanaangalia faida zao, kuhusu Ubwa na Chanongo nisingependa kuwaongelea”

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments