Videos

VideoMPYA: Mad Ice anatualika kuitazama video yake mpya ‘Delilah’

on

Ni miongoni mwa waimbaji waishio nje ya Tanzania na bado wana mashabiki wengi kwenye nchi ya Tanzania… Mad Ice anayo video nyingine mpya ya kutuonyesha… ukishamaliza kuitazama sio mbaya ukimuachia na comment akipita ajue mashabiki wake wameipokeaje.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments