Leo March 2 2016 wabunge wawili wa chadema, Mbunge wa Kawe, Halima Mdee, Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara Pamoja na Diwani wa Kata ya Saranga, Ephrein Kinyafu. Wamefikishwa mahakamani kwa ajili ya kujibu mashitaka ya kumjeruhi katibu tawala Mkoa wa Dar es salaam wakati wa uchaguzi wa Meya wa jiji la Dar es Salaam ulipoahirishwa. Watuhumiwa wote wamekana mashitaka hayo na wamejidhamini wenyewe kwa gharama ya Shilingi Milioni mbili kila mmoja.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na MillardAyokwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAMTWITTER FB YOUTUBE