Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Picha 9 za Halima Mdee na wenzake walivyotoka Mahakamani leo
Share
Notification Show More
Latest News
Utacheka: Mwijaku apanda gari la Diamond ‘Rolls Royce’, Zuchu aangua kicheko, Baba Levo atia neno
August 19, 2022
Picha: Diamond ameingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya Ndondo Cup
August 19, 2022
Kuelekea Sensa Agosti 23, Mbunge wa Jimbo la Ushtu anena hili kwa Wananchi wake
August 19, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022
August 19, 2022
Kiwanda cha Chai Mponde Ujenzi wake umefikia 95%
August 18, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Picha 9 za Halima Mdee na wenzake walivyotoka Mahakamani leo
Mix

Picha 9 za Halima Mdee na wenzake walivyotoka Mahakamani leo

March 2, 2016
Share
2 Min Read
SHARE

Leo March 2 2016 wabunge wawili wa chadema, Mbunge wa Kawe, Halima Mdee, Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara Pamoja na Diwani wa Kata ya Saranga, Ephrein Kinyafu. Wamefikishwa mahakamani kwa ajili ya kujibu mashitaka ya kumjeruhi katibu tawala Mkoa wa Dar es salaam wakati wa uchaguzi wa Meya wa jiji la Dar es Salaam ulipoahirishwa. Watuhumiwa wote wamekana mashitaka hayo na wamejidhamini wenyewe kwa gharama ya Shilingi Milioni mbili kila mmoja.

 

1
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Halima Mdee (wa pili kushoto), Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara (wa tatu kutoka kushoto) na Diwani wa Kata ya Saranga, Ephrein Kinyafu (kulia) wakiwa ndani ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, Leo kabla ya kuanza kusikiliza kesi inayowakabili. 
3
Mbunge wa jimbo la Mikumi, Joseph Haule, akiwa ndani ya mahakama ya mkazi kisutu kabla ya kuanza kusikilizwa kwa kesi hiyo.
2
Mbunge wa Bunda, Esther Bulaya akiwa na Katibu Mkuu, Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) wakisubiri kusikilizwa kwa kesi hiyo

4

5

6

7

8

9

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na MillardAyokwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAMTWITTER FB YOUTUBE

You Might Also Like

Kiwanda cha Chai Mponde Ujenzi wake umefikia 95%

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 17, 2022

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 13, 2022

Mwana FA alivyoungana na Viongozi mbalimbali kuhamasisha Zoezi la Sensa, Masuguru Wilayani Muheza

Bwawa la Mwalimu nyerere sasa kazi ni Usiku na Mchana, ‘kukamilika June 2024’ Waziri Makamba anena

TAGGED: Pichaz
Millard Ayo March 2, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Kama uliikosa ya muonekano wa Mbwana Samatta, Lionel Messi na Neymar kwenye Game ya FIFA 16
Next Article Msanii aliyejitokeza na kusema ‘shika adabu yako wa Nay wa mitego ni wimbo mzuri’
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Utacheka: Mwijaku apanda gari la Diamond ‘Rolls Royce’, Zuchu aangua kicheko, Baba Levo atia neno
Entertainment August 19, 2022
Picha: Diamond ameingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya Ndondo Cup
Entertainment August 19, 2022
Kuelekea Sensa Agosti 23, Mbunge wa Jimbo la Ushtu anena hili kwa Wananchi wake
Top Stories August 19, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022
Magazeti August 19, 2022

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 18, 2022

August 18, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 16, 2022

August 16, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 15, 2022

August 15, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 14, 2022

August 14, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?