Video Mpya

Eric Omondi hajaishia ‘Zilipendwa’ tu ya WCB kapita na Seduce Me ya Alikiba

on

Mchekeshaji Eric Omondi ambaye mara nyingi amekuwa na utamaduni wa kupenda kurudia nyimbo za Diamond Platnumz, leo September 17 2017 ametoa video mbili kwa pamoja akiwa ameirudia Zilipendwa na WCB na hii hapa chini ameirudia ‘Seduce Me’ ya Alikiba yeye ameiita ‘Shock Me’

VIDEO: Alikiba amefunguka ilipotokea ‘Seduce Me’

Soma na hizi

Tupia Comments