AyoTV

Dakika 4 za Doctor kuhusu jeraha la goti la Donald Ngoma wa Yanga (+Audio)

on

Baada ya headlines za staa wa kimataifa wa Zimbabwe anayeichezea Dar es Salaam Young Africans kuamua kutumia ukurasa wake wa instagram kueleza kuwa Doctor Haroun anayemtibia jeraha la goti anamgombanisha, Doctor Haroun ameweka wazi ukweli kuhusiana na kinachomkabili Ngoma.

Ngoma anaelezwa kuwa hataki kucheza kutokana na kufanyiwa vipimo na doctor wake na kumwambia atakuwa nje ya uwanja kwa wiki sita hadi nane lakini Doctor Haroun ameeleza kuwa Ngoma yuko fiti kurudi uwanjani licha ya kuwa staa huyo anasema bado anajisikia kusumbuliwa na majeraha.

Unaweza kubonyeza PLAY kuisikiliza Interview ya Doctor Haroun na Sports Extra ya Clouds FM

ALL GOAL: SIMBA VS YANGA FEBRUARY 25 2017, FULL TIME 2-1

Soma na hizi

Tupia Comments