Mix

Kitu ambacho Nape Nnauye akikikumbuka anahisi kuonekana mkorofi

on

Mbunge wa MtamaNape Nnauye ambaye hivi karibuni amekuwa kwenye headlines baada ya kuondolewa kwenye nafasi ya uwaziri na kutolewa bastola alipokuwa anataka kuzungumza na waandishi wa habari.

Leo April 17 2017 Mbunge Nape Nnauye ametumia ukurasa wake rasmi wa twitter kuandika ujumbe ulioambatana na picha ambayo ina maelezo “Niliyashuhudia maisha haya mikoani(38months),nadhani ndio nikiyakumbuka naonekana mkorofi!!Iko haja kama Taifa kuangalia vipaumbele vyetu!”

VIDEO: Swali la Nape Nnauye Bungeni leo

Soma na hizi

Tupia Comments